Champio League: Samatta apangiwa Na mabingwa Liverpool

Champio League: Samatta apangiwa mabingwa Liverpool

Makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya yameshapangwa na klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji inayochezewa na Mtanzania Mbwana Samatta wataminyana na bingwa mtetezi Liverpool kutoka England.

Siku 89 zilizopita, Liverpool ilinyanyua ndoo hiyo na hii leo safari ya kulitetea kombe lao imeanza kupata uhai.

Samatta ambaye ni mshambuliaji bora nchini Ubelgiji atakuwa na kibarua kigumu cha kumpita beki bora wa Ulaya Vigil van Dijk.


      KAMA MPENZ WA MUSIC DOWNLOAD NYIMBO MPYA HAPA GUSA LINK








No comments

Featured post

Champio League: Samatta apangiwa Na mabingwa Liverpool

Champio League: Samatta apangiwa mabingwa Liverpool Makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya yameshapangwa na klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji ina...

Powered by Blogger.